28 Jul 2026 10:19 am | Citizen TV 205 views Duration: 1:45 Huduma za afya katika Kaunti ya Kericho zatarajiwa kurejea katika hali ya kawaida baada ya serikali ya Kaunti, kutia saini mkataba wa makubaliano ya Kurejea Kazini na Chama cha maafisa wa Kliniki.