Skip to main content
Skip to main content

Maafisa wa huduma za umma wahojiwa kuhusu matumizi ya fedha za serikali

  • | Citizen TV
    461 views
    Duration: 2:59
    Cheche za maneneo leo zimeshuhudiwa wakati maafisa wa idara ya huduma za umma walipofika mbele kamati ya uhasibu wa mali ya umma kujibu maswali kuhusu ripoti ya makaguzi wa mahesabu. Maafisa hao wamehojiwa kuhusu matumizi ya fedha kuanzia juni mwaka wa 2024 hadi juni mwaka wa 2025.