Skip to main content
Skip to main content

Maafisa wa polisi eneo la Mbeere South wachunguza kisa cha mauaji ya mwanamume aliyekuwa na miaka 35

  • | Citizen TV
    1,448 views
    Duration: 2:10
    Maafisa wa polisi eneo la Mbeere South wachunguza kisa cha mauaji ya mwanamume aliyekuwa na miaka 35, pamoja na mpenziwe, ambao miili yao ilipatikana katika shamba la muguka katika kijiji cha Wikaze, kaunti ya Embu.