19 Aug 2026 10:08 am | Citizen TV 2,837 views Duration: 2:37 Biwi la simanzi latanda katika kijiji cha Magangani eneo la Dabaso kaunti ndogo ya Malindi baada ya mwili wa mwanamke mmoja kufukuliwa baada ya kuuwawa na kuzikwa kwa siri.