- 1,649 viewsDuration: 3:28Matayarisho ya kongamano la AFRICA FORWARD litakalohudhuriwa na rais wa ufaransa Emannuel Macron, mwenyeji Rais William Ruto na marais wengine angalau 30 kutoka mataifa mbalimbali barani Afrika yamekamilika. Aidha, idara ya Polisi imetangaza kwamba usalama umeimarishwa huku shughuli za uchukuzi zikitatizwa katikati mwa jiji la Nairobi kutokana na kufungwa kwa barabara kadhaa zitakazotumika wakati wa hafla hiyo Jumatatu na Jumanne katika maeneo tofauti yakiwemo ukumbi wa KICC