- 410 viewsDuration: 3:36Maandalizi ya maonyesho ya kimataifa ya kilimo kaunti ya Mombasa yametamatika huku Jumla ya washiriki 1, 000 na maelfu ya wageni wanatarajiwa kushiriki. Maonyesho hayo ya siku sita yatafanyika kuanzia tarehe mbili hadi tarehe sita Septemba, yakihushisha washiriki kutoka Kenya na mataifa mbali mbali barani afrika.