Skip to main content
Skip to main content

Maandalizi ya maonyesho ya kilimo Nairobi yashika kasi

  • | Citizen TV
    557 views
    Duration: 1:38
    Maandalizi ya maonyesho ya kimataifa ya ukulima na biashara hapa jijini Nairobi yanaelekea kukamilika. Haya yamebainika kufuatia ukaguzi wa kiusalama katika uwanja wa Jamhuri ASK uliongozwa na mwenyekiti wa maonyesho hayo Levi Mukhweso pamoja naibu kamishna wa kaunti ndogo ya kibra Victor Kamonde.