30 Dec 2025 4:04 pm | Citizen TV 318 views Duration: 1:55 Wakazi wa eneo la Kamonjil, Chesumei kaunti ya Nandi waliandamana kulalamikia ongezeko la pombe Haramu wanayosema imesababisha zaidi ya watu watano kupoteza maisha katika kipindi cha mwezi mmoja uliopita.