Skip to main content
Skip to main content

Madaktari na Wahudumu wa Afya Life Care Eldoret Waandamana Kulalamikia Kunyanyaswa

  • | Citizen TV
    1,321 views
    Duration: 1:51
    Madaktari pamoja na wahudumu wa afya wa Life Care Hospital jijini Eldoret wameandamana wakilalamikia kile wanachodai kuwa ni kunyanyaswa na usimamizi wa hospitali hiyo.