12 Oct 2026 1:12 pm | Citizen TV 735 views Duration: 3:00 madaktari wametoa wito kwa akina mama kutafuta vipimo mapema vya saratani ya matiti. Hayo yamejiri katika hafla ya matembezi ya kutoa hamasisho ya saratani ya matiti iliyoandaliwa jijini Eldoret kaunti ya Uasin Gishu