- 556 viewsDuration: 5:02Matumizi ya dawa za kulevya na vileo yanaendelea kuwa janga linaloathiri afya na ustawi wa jamii, huku maelfu ya watu wakikabiliwa na athari za utegemezi wa vitu hivyo. Katika Siha na Mumbile leo, mwanasaikolojia Joseph Wahothi kutoka Equity Afya anaeleza madhara ya matumizi ya dawa za kulevya na vileo kwa afya ya mwili na akili, pamoja na umuhimu wa kupata matibabu na usaidizi mapema. Mwanahamisi Hamadi anaangazia zaidi.