Skip to main content
Skip to main content

Maelfu wapanda miche 5,000 kuadhimisha Siku ya Mikoko Duniani

  • | Citizen TV
    545 views
    Duration: 1:53
    Maelfu ya wanafunzi kutoka eneo la Pwani walifurika jijini Mombasa kuadhimisha Siku ya Mikoko Duniani kwa kupanda miche 5,000, wakilenga kuweka rekodi mpya ya dunia. Zoezi hilo lililoandaliwa katika eneo la Jomvu Kuu lililenga kuhamasisha umma kuhusu umuhimu wa mikoko katika kuhifadhi mazingira ya baharini na kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi. Waandalizi walisema shughuli hiyo pia inalenga kuwajengea vijana utamaduni wa utunzaji wa mazingira na kuongeza juhudi za uhifadhi wa mfumo wa ikolojia wa pwani. Francis Mtalaki ana taarifa zaidi.