Skip to main content
Skip to main content

Maelfu ya wanafunzi waripoti shule, Waziri Ogamba ahakikishia nafasi

  • | Citizen TV
    530 views
    Duration: 3:07
    Maelfu ya wazazi na wanafunzi wa gredi ya 10, wamefurika katika shule mbalimbali kote nchini kuanza masomo ya sekondari ya juu chini ya mfumo wa CBE. Huku baadhi ya wazazi wakilalamikia wanafunzi wengine kupewa nafasi katika shule za jinsia tofauti, waziri wa elimu Julius Migos Ogamba amesema zoezi hilo linaendelea vizuri na wazazi bado wana nafasi ya kubadilisha shule.