- 7,560 viewsDuration: 6:40Maelfu ya Wakazi wa eneo la Bondo na viunga vyake wanaendelea kumiminika katika uwanja wa Migwena kuadhimisha mwaka mmoja tangu kifo cha Raila Odinga. viongozi na wageni mbalimbali wa humu nchini na kimataifa wanatarajiwa kuhudhuria hafla hiyo. Familia ya hayati Raila Odinga na wakazi wanatumai kuw aviongozi wanaohudhuria hafla hiyo watatumia fursa wanayopewa kuliunganisha taifa badala ya malumbano ya kisiasa.