2 Sep 2026 10:46 am | Citizen TV 383 views Duration: 1:38 Wanafunzi wa gredi ya tisa katika shule ya Gongoni kauti ya Kilifi, wanafunzwa mafunzo ya uongozi, stadi za maisha na utunzaji wa mazingira, katika mpango unaolenga kuwaandaa kwa maisha ya baadaye.