Skip to main content
Skip to main content

Magavana wanawake wataka wanawake wenzao kuendelea kupigania nafasi za uongozi

  • | Citizen TV
    871 views
    Duration: 1:46
    Magavana wanawake wamewatia shime wenzao kuendelea kupigania nafasi ya mwanamke katika nyadhifa za uongozi. wakizungumza katika jukwaa la baraza la magavana wanawake maarufu G7 hapa jijini nairobi, walipokutana na wawakilishi wadi kutoka kaunti 47, viongozi hao wameelezea masaibu ambayo wanawake hupitia katika ulingo wa kisiasa ila wanajikakamua na kuchukua uongozi.