Skip to main content
Skip to main content

Magavana wasema madaktari wataalamu wasusia kazi kwenye kaunti zao

  • | Citizen TV
    251 views
    Duration: 1:57
    Baadhi ya magavana walalamikia wizara ya afya kuhusu gharama kubwa ya mafunzo ya wataalamu wa matibabu kwenye kaunti zao wakisema hawapati thamani ya pesa hizo.