- 834 viewsDuration: 3:00Mahakama itatoa uamuzi tarehe 19 Agosti, kuhusu iwapo Mbunge wa Mukurweini John Kagucia atajibu mashtaka dhidi yake au la katika kesi ambapo anatuhumiwa kutoa matamshi ya kukera na kuvuruga amani. Hakimu Mkuu Mwandamizi wa mahakama ya milimani Teresia Nyangena alitoa umauzi hiyo kufuatia tetesi kutoka kwa mawakili wa Kagucia na wa mashtaka kuhusu mashtaka hayo na mamlaka ya mahakama hiyo kusikiza kesi. Mawakili wa Kagucia wameshikilia kwamba mashtaka yaliyowasilishwa hayaelezei ni nani anayemshtaki