- 4,335 viewsDuration: 2:51Mahakama kuu yawaamuru spika wa bunge la kitaifa Moses Wetangula na mwenzake wa seneti Amason Kingi kukoma kutumia ofisi zao kupiga siasa za kuegemea mrengo mmoja. Amri hii ya mahakama ikifuatia ombi la lililowasilishwa mahakama kutaka maspika hao kuzuiwa kutumia ofisi zao kumpigia debe rais william ruto katika azma yake ya kutafuta muhula wa pili.