Skip to main content
Skip to main content

Mahakama ya Kajiado yaipa DCI muda zaidi kuchunguza visa vya ubakaji na ulanguzi wa watoto

  • | Citizen TV
    681 views
    Duration: 50s
    Mahakama ya Kajiado imetoa muda zaidi kwa makachero wa DCI kutoka kituo cha polisi cha Isinya, Kaunti ya Kajiado, kukamilisha uchunguzi kabla ya mshukiwa wa visa vya ubakaji na ulanguzi wa watoto kufunguliwa mashtaka.