22 May 2026 7:41 pm | Citizen TV 466 views Duration: 39s Mahakama ya Migogoro ya Michezo nchini imesimamisha mechi ya Ligi Kuu ya kandanda kati ya Gor Mahia na Mara Sugar FC ambayo ilipangwa kufanyika katika Uwanja wa Raila Odinga Stadium, Homa Bay, Jumapili.