Skip to main content
Skip to main content

Mahakama yaachilia washukiwa wanane waliokamatwa katika uvamizi wa kanisa Kisumu

  • | Citizen TV
    2,416 views
    Duration: 2:07
    Watu wanane waliokamatwa kwenye uvamizi wa kanisa la St. Stephens kaunti ya Kisumu wameachiliwa baada ya mahakama kutupilia mbali ombi la upande wa mashtaka la kuwazuilia.