- 3,495 viewsDuration: 1:51Imekuwa afueni kwa naibu kinara wa Jubilee na waziri wa zamani Fred Matiang'i pamoja na katibu Belio Kipsang kuhusiana na utekelezwa wa amri ya mahakama kuhusu malipo ya ardhi tata ya Ruaraka. Sasa kundi la majaji 7 limesitisha agizo la kuwataka kulipa shilingi bilioni 1.5 kufuatia kesi iliyowasiishwa na kampuni mbili zilizohusishwa na sakata hiyo