26 May 2026 1:41 pm | Citizen TV 1,187 views Duration: 1:15 Mahujaji wa Kiislamu walioko nchini Saudi Arabia waliondoka alfajiri ya Jumanne kuelekea katika milima ya Arafat kuadhimisha siku ambayo ndiyo muhimu zaidi katika ibada ya Hija.