29 Apr 2026 1:29 pm | Citizen TV 387 views Duration: 1:39 Makasisi na viongozi wa dini kutoka kaunti ya Bungoma wametoa wito kwa vijana kujiepusha na ushawishi wa wanasiasa wanaowatumia vibaya kwa maslahi ya kisiasa.