Skip to main content
Skip to main content

Makueni yajiandaa kukabiliana na Mvua kubwa ya El Niño

  • | NTV Video
    6,075 views
    Duration: 4:39
    Mvua kubwa za El Nino zinatarajiwa kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini, huku Kaunti ya Makueni ikiwa miongoni mwa maeneo yaliyo hatarini kukumbwa na mafuriko. Hii ni kutokana na uwepo wa mito mikubwa ambayo hujaa na kuvunja kingo wakati wa mvua nyingi. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya