- 661 viewsDuration: 2:10Makumi ya wanawake katika Kaunti ya Nandi waandamana kwa zaidi ya kilomita tano hadi katika kituo cha polisi cha Chepterit, wakitaka haki itendeke kufuatia mauaji ya nyanya mwenye umri wa miaka 67, ambaye anadaiwa kunajisiwa na watu wasiojulikana kabla ya kuuawa.