- 162 viewsDuration: 4:02Malipo yote ya mrabaha ya wasanii nchini Kenya sasa yatakuwa yakikusanywa kupitia kidijitali kupitia mfumo wa E-citizen ili kuepusha ulaghai ambao umekithiri katika sekta hiyo kwa miaka mingi ambapo wasanii wamekuwa watapeliwa malipo yao.Haya ni baadhi ya marekebisho yatakayofanywa katika sekta hiyo kupitia ofisi ya miradi maalum na uchumi bunifu ili kulainisha sekta hiyo.Na jinsi Timothy Kipnusu anavyoripoti wasanii wamefurahia marekebisho hayo yatakayohakikisha haki inatekelezwa katika sekta hiyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive