Skip to main content
Skip to main content

Malkia Strikers waimarisha maandalizi kuelekea mashindano ya Bara Afrika

  • | Citizen TV
    258 views
    Duration: 1:25
    Timu ya taifa ya voliboli ya wanawake, Malkia Strikers, sasa inaboresha mazoezi yao kabla ya mashindano ya wanawake ya Bara Afrika kung’ang’ania siku ya Jumapili. Mashindano hayo pia ni mchujo wa Michezo ya Olimpiki ya Los Angeles ya mwaka 2028.