Skip to main content
Skip to main content

Malkia Strikers yaendelea na maandalizi ya Mashindano ya Afrika

  • | Citizen TV
    151 views
    Duration: 1:22
    Timu ya taifa ya voliboli ya wanawake, Malkia Strikers, inayoundwa na wachezaji 14, inaendelea na mazoezi katika uwanja wa Kasarani hapa Nairobi, kabla ya Mashindano ya Bara Afrika yanayoanza kesho katika uwanja huo