17 Oct 2026 7:33 pm | Citizen TV 28,265 views Duration: 47s Mjane wa aliyekuwa Waziri Mkuu, hayati Raila Odinga, mama Ida Odinga, amekashufu madai kuwa watu walisafirishwa kuwazomea baadhi ya wazungumzaji kwenye hafla ya ukumbusho wa Raila iliyofanyika Alhamisi.