Skip to main content
Skip to main content

Mama Ida akashifu madai ya kusafirishwa kwa watu kuwazomea wazungumzaji kwenye hafla ya Raila

  • | Citizen TV
    27,443 views
    Duration: 47s
    Mjane wa aliyekuwa Waziri Mkuu, hayati Raila Odinga, mama Ida Odinga, amekashufu madai kuwa watu walisafirishwa kuwazomea baadhi ya wazungumzaji kwenye hafla ya ukumbusho wa Raila iliyofanyika Alhamisi.