Skip to main content
Skip to main content

Natembeya atishia kuwaondoa wafanyabiashara sokoni Masinde Muliro mjini Kitale siku ya Jumatatu

  • | Citizen TV
    14,322 views
    Duration: 1:17
    Mvutano kati ya Rais William Ruto na Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya unazidi kuchacha huku gavana huyo akitishia kufika katika soko la Masinde Muliro mjini Kitale lililozinduliwa na Rais Ruto na kuwaondoa watu waliotengewa nafasi hiyo na Rais. Natembeya, ambaye amekuwa akitofautiana na Rais kuhusu miradi ya maendeleo kaunti hiyo, amewaonya polisi dhidi ya kumkamata atakapowapa wafanyibiashara halali nafasi hizo Jumatatu.