- 12,927 viewsDuration: 2:28Viongozi wa upinzani nao wamemkashifu Rais William Ruto kwa kuwahangaisha kutokana na tofauti za kisiasa. Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka anadai Rais Ruto anajaribu kuhakikisha Gavana wa Transzoia George Natembeya amekamatwa kwasababu ya kumkosoa.