Skip to main content
Skip to main content

Mamia ya wafuasi wa Dini ya Roho Mafuta Pole ya Afrika wauawa na maelfu wengine kuathirika

  • | Citizen TV
    45,005 views
    Duration: 3:10
    Licha ya kushiriki katika mapambano ya kulikomboa taifa dhidi ya utawala wa kikoloni, ambapo mamia ya wafuasi wa Dini ya Roho Mafuta Pole ya Afrika wauawa na maelfu wengine kuathirika, washirika hao wasema mchango wao katika safari ya uhuru wa Kenya bado haujatambuliwa ipasavyo.