7 Sep 2026 1:13 pm | Citizen TV 137,981 views Duration: 7:29 Mamia ya raia wa Burundi wamefika katika ubalozi wao nchini kufuatia hofu kuhusu hatma yao baada ya Rais kutangaza kuwa raia wasio na vibali wanapaswa kurejea kwao.