- 124 viewsDuration: 2:34Muungano wa mamlaka ya ubora wa bidhaa barani Afrika lataka kupitishwa na utekelezaji wa mfumo mmoja wa viwango ubora wa bidhaa wakisema hatua hiyo itaondoa vikwazo katika biashara barani pamoja na kupunguza gharama za biashara.