Skip to main content
Skip to main content

Mapendekezo ya kuanzishwa kwa faini za papo hapo za NTSA yawakera wadau katika sekta ya uchukuzi

  • | NTV Video
    721 views
    Duration: 3:11
    Kizungumkuti cha faini za NTSA mapendekezo ya kuanzishwa kwa faini ya papo kwa papo yamewakera wadau mbalimbali katika sekta ya uchukuzi, huku wengi wao wakiyapinga na kuyakosoa wakisema kuwa yanaweza kusababisha migogoro kati ya mmiliki wa gari na dereva, hasa pale ambapo kutakuwa na siutafahamu kuhusu nani anayepaswa kuwajibika kwa makosa yaliyosababisha faini hiyo kutolewa Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya