- 1,407 viewsDuration: 3:52Mwaka mmoja baada ya aliyekuwa waziri mkuu wa pili Raila Odinga kuaga dunia, wasifu wake bado unatajika katika pembe zote miongoni mwa viongozi na wafuasi wake wa kisiasa. Kwa wengi, Odinga alikuwa sio tu mwasiasa, bali rafiki aliyeenzi utamaduni na kutangamana na watu wa kawaida.