21 Sep 2026 10:21 am | Citizen TV 2,113 views Duration: 1:48 Muungano wa maseneta wanawake nchini umetaka uchunguzi kufanyika haraka iwezekanavyo, kuhusu kisa ambapo wasichana 36 kutoka katika shule ya upili ya wasichana ya bakisa kaunti ya bungoma walipachikwa mimba.