20 Sep 2026 7:36 pm | Citizen TV 978 views Duration: 1:15 Wakazi wa kaunti ya Meru leo walipata fursa ya kutangamana na watangazaji wa haiba wa Redio Citizen katika ibada ya Jumapili mitaa ya mji wa Meru. Ibada hiyo ikiwaleta pamoja mashabiki na watangazaji