- 12,426 viewsDuration: 2:54Aliyekuwa naibu rais rigathi gachagua amejipata kwenye visa vya uvamizi zaidi ya mara 10, mikutano yake ya kisiasa na hata ya ibada ikisambaratishwa na wahuni pamoja na maafisa wa polisi. Licha ya asasi za kiusalama kukemea matukio hayo, hakuna hatua za kisheria ambazo zimechukuliwa dhidi ya wahusika, wengi wao wakinaswa kwenye picha wakihusika kwenye uhuni huo.