Skip to main content
Skip to main content

Mashindano ya kandanda ya amani yazinduliwa Tot kaunti ya Elgeyo Marakwet

  • | Citizen TV
    387 views
    Duration: 1:42
    Katika juhudi za kuimarisha amani katika kaunti zilizokuwa zinashuhudia utovu wa usalama mara kwa mara,serikali yazindua mashindano ya mchezo wa kandanda yanayounganisha kaunti tisa katika eneo la Tot kaunti ya Elgeyo Marakwet.