Skip to main content
Skip to main content

Mashindano ya kiswahili yafanyika Kitengela, Kajiado

  • | Citizen TV
    370 views
    Duration: 3:50
    Wakereketwa wa Lugha ya Kiswahili Pamoja na taasisi za Elimu nchini wahimiza kuimarishwa kwa juhudi za kukuza na kulea matumizi ya Lugha hiyo ili kuilindi dhidi ya Kumezwa na lugha zingine za Ughaibuni. Walimu wa Kiswahili wazungumza Kwenye Mashindano ya Kiswahili yalioandaliwa mjini Kitengela kaunti ya Kajiado, waeleza hofu yao kuhusu kuendelea kudidimia kwa lugha hiyo .