Skip to main content
Skip to main content

Mashindano ya riadha 2029 yalenga kukuza utalii bonde la ufa

  • | Citizen TV
    263 views
    Duration: 1:21
    Sekta ya utalii katika Bonde la Ufa inaangazia fursa zinazoweza kuibuliwa na Kenya kuwa mwenyeji wa Mashindano ya Dunia ya Riadha ya 2029. Wadadisi wa sekta hiyo wanataka tukio hilo litumike pia kutangaza vivutio vya utalii katika eneo hilo