Skip to main content
Skip to main content

Mashirika ya kijamii Garissa yahamasisha jamii kuhusu athari ya ukeketaji miongoni mwa wasichana

  • | Citizen TV
    294 views
    Duration: 1:45
    Mashirika ya kijamii pamoja na maafisa wa serikali katika mji wa Garissa waongoza matembezi ya hamasisho kuhusu madhara ya ukeketaji miongoni mwa wasichana katika kaunti hiyo.