- 614 viewsDuration: 47sMashirika yasiyo ya serikali sasa yanaitaka serikali kuharakisha maandalizi ya kukabiliana na athari za mvua ya El Niño. Katika kikao hapa jijini Nairobi, mashirika hayo, ikiwemo Taasisi ya Uwajibikaji wa Umma, yameitaka pia serikali kuhakikisha uwajibikaji katika matumizi ya pesa zilizotengewa kukabiliana na dharura za mvua ya El Niño.