- 101 viewsDuration: 1:00Mashirika ya kijamii yameitaka mamlaka ya kusimamia mashirika ya umma 'pbo' kuheshimu sheria na kufuata taratibu za utekelezaji wa sheria ya mashirika ya faida kwa umma kwa manufaa ya wakenya wote. Haya yanajiri baada ya mahakama kusitisha uamuzi uliotangaza na mamlaka hiyo kuwa si halali kikatiba. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya