Skip to main content
Skip to main content

Mashirika ya waajiri yapendekeza kupunguzwa kwa ushuru wa PAYE

  • | Citizen TV
    275 views
    Duration: 1:49
    Mashirika ya viwanda, yale ya waajiri wa kibinafsi na Shirikisho la Waajiri nchini yamependekeza kupunguzwa kwa ushuru wa malipo ya mishahara (PAYE) kutoka asilimia 35 hadi 30. Pia yameitaka serikali kuongeza nafuu ya kodi hadi shilingi 3,000, yakisema kuwa viwango vya juu vya ushuru unawaathiri wafanyakazi na kupunguza uwezo wao wa kumudu gharama za maisha.