21 May 2026 11:30 am | Citizen TV 348 views Duration: 3:16 Mashirika ya kutetea haki sasa yanaitaka serikali kutangaza dhuluma za kijinsia kuwa janga la kitaifa na kuchukua hatua za dharura kukabiliana na mauaji ya wanawake nchini